Hotuba ya taasisi za kihabari kuhusu Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

HOTUBA YA TAASISI ZA KIHABARI KATIKA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI (WPFD) ILIYOADHIMISHWA KITAIFA MEI 3, 2019 JIJINI DODOMA, TANZANIA Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe; Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Bilinith Mahenge Jaji Mfawidhi wa Kanda ya Kati Tanzania; Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi; Mhe. Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke; Mhe. Mwambata wa Ubalozi wa Marekani, Dk. Inmi Patterson; Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya; Mwakilishi wa UNESCO, Anna Therese Ndong…

Read More

Tanzanian business mogul Reginald Mengi dies at 75

Media mogul, entrepreneur and philanthropist, Reginald Mengi is no more. The IPP executive chairman — who is ranked as one of Tanzania’s dollar millionaires — died on Thursday, 02 May 2019 in Dubai. News about the death of Mr Mengi broke early in the morning on Thursday via IPP media outlets, including ITV and EATV. Shortly, President John Magufuli sent a condolence message via his twitter page. “I am shocked by the death of an elder and a friend Dr Reginald Mengi. I will remember him for his immense contribution…

Read More

World Press Freedom Day 2019

World Press Freedom Day 2019

Every 3 May, World Press Freedom Day serves to commemorate the fundamental principles of press freedom. It is also an opportunity to evaluate press freedom around the world, raise awareness about attacks against media and pay tribute to journalists who have lost their lives in the exercise of their profession. The Day also encourages a reflection among media professionals about issues of media independence, freedom and pluralism. This year, by focusing on the theme “Media for Democracy: Journalism and Elections in Times of Disinformation” World Press Freedom Day underlines that…

Read More

US walikuwa na sera ya jambo hilo

US walikuwa na sera ya jambo hilo

Walisema kuna tatizo la “check and balances” za kutosha waendesha mashataka na majaji wa mahakama hiyo. Lakini zile nchi nyingine 120 zilimwaga wino kabla ya deadline ile ya Desemba 31, 2000. Na si kwamba hawakusaini, bali ni kwamba hawajaridhia so far. Nakumbuka nilipitia jarida moja, kama si _Newsweek_ basi ni _TIME._ Clinton alitia saini, lakini akasema kuna _”significant flaws”_ kwa waendesha mashtaka na majaji wa ICC. Lakini kumbuka walioishadidia zaidi ni TLS ya Marekani inayoitwa _’American Bar Association’._ Inaelekea ubishi ulikuwa pale kwenye Ibara ya 9 inayozungumzia kile kinachoitwa _*’Elements…

Walisema kuna tatizo la “check and balances”

Douglas ukaanza kudorora siku baada ya siku

Wakati Dk. Vedasto Kyaruzi akiwa bado ni Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Mambo ya Nje (1962-63), yeye na Douglas walikuwa wameshatengeneza mpango wa kuwawezesha maofisa wa kijeshi kutoa mafunzo kwa maofisa wa Kiafrika ambao wangerithi nyadhifa zao, na pia yaye (Dk Kyaruzi), alitoa ripoti hiyo kwa Rais Nyerere, ambaye alikubaliana naye. Mpango huo ulikuwa uchukue muda fulani kukamilika, lakini Kambona alipoingia na kumtoa Dk Kyaruzi kwenye wadhifa wake, alianza kushinikiza kuondolewa kwa haraka maofisa wa kijeshi wa Uingereza. Kuanzia hapo uhusiano kati ya Kambona na Douglas ukaanza kudorora siku…

Read More